
Mwezi unapita kwenye kivuli cha Dunia (Earth’s shadow). Hii hutokea pale ambapo Jua, Dunia na Mwezi vinajioanga mstari mmoja, na Dunia inakuwa katikati ya Jua na Mwezi. Kwa hiyo, mwanga wa Jua unakuwa unagonga Mwezi huzuiwa na Dunia, na kufanya Mwezi uonekane umeingia gizani au kubadilika rangi. 2. Aina za Kupatwa kwa Mwezi Kuna aina tatu kuu: Partial Lunar Eclipse (Kupatwa kwa Sehemu) Sehemu tu ya Mwezi inaingia kwenye kivuli cha Dunia. Unapoangalia, utaona kipande cha Mwezi kimegubikwa na giza huku kingine kikiwa kimekaa kawaida. Total Lunar Eclipse (Kupatwa kwa Jumla) Mwezi mzima unaingia kwenye kivuli cha Dunia (umbra). Wakati
0 Comments