MY FOREVER MAN 💘 12

MY FOREVER MAN 💘 12

Baada ya Abby kuzichoma moto zile picha, moyo wake ulijaa hasira Alijua kabisa Kijo hakuwa mtu wa mchezo, na kama ameanza huu mchezo basi hakika ataendelea. “Sitakubali aharibu maisha yangu na Kamila. Mimi ndiye nitakuwa ngao yake,” Abby alijisemea huku akirudi ndani. Alipofika chumbani alimkuta Kamila amejifunika shuka. " Umekawia sana ulikuwa unafanya nini huko? " Nilikuwa naweza sawa zile karatasi si unajua kesho natakiwa kuwahi kazini na kazi ya kuanza nayo ni ile kwenye zile karatasi. " Kwanini wasingekutumia kwenye email yako? " Sijui kwanini wameamua kutuma . Alijibu Abby huku akibadilisha nguo na kuvaa Panama za kulalia kisha

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments