
Basi baba mkwe na mama mkwe wakaombana misamaha pale na sisi kesho yake tukarudi zetu nyumban na maisha yetu yakawa yanaendelea kama kawaida… Siku moja mume wangu akanambia kuwa event kazini kwao, anataka nivae nipendeze kwa ajili ya hio event, na sikuwa na namna zaidi ya kukubali, maana mume ndio ameshasema sasa, mimi ni nani nipinge….. Basi bana siku ikafika na mume wangu kipindi hicho alikuwa tayar ameshanunua gari, hivyo akanipeleka saloon, nikapambwa vizuri na baada ya kupambwa tukaenda zetu kwenye event, mume wangu ni ile aina ya wanaume wanaojali sana, alikuja akanifungulia mlango wa gari, na baada ya hapo
0 Comments