
Yaani Mr Tamir alikuwa anataka ile kampuni ya Mr Jovin ibaki kampuni Jina tu Labda na bidhaa zilizopo na wafanyakazi, ila Pesa za kampuni zote alikuwa anataka kuzihamisha, kifupi alikuwa anataka kuifirisi kampuni!. Na kweli mchakato ulianza Mr Tamir akishirikiana na Mr Antonio, walimshawishi Mhasibu Mkuu Wa Kampuni ile Baada ya hapo, Mr Tamir aliwasiliana na baadhi ya Vigogo anao Jua wanaweza kumsaidia!. Walienda Mpaka benki ili Sasa kujaza fomu za kuanza mchakato Wa kuhamisha Pesa, maana ulikuwa Siyo mchakato Wa Siku Moja, maana kabla ya kuhamisha ilikuwa lazima Pesa Zinazo hamishwa zithibitishwe kama ni Pesa halali na hazidaiwi kodi,
0 Comments