MADAM NIPE KIDOGO BASI 7

MADAM NIPE KIDOGO BASI 7

Yule nurse alimuangalia Yule kijana kwa dakika kadhaa kisha akasema “ wewe ni mdogo sana kendric bado haujaelewa kabisa unachokiongea, kisha akasimama na kuondoka zake…. Kendrick alijisikia vibaya sana, maana hana udogo wa kushindwa kumpa furaha mwanamke ambae alikuwa anampenda… Hakutaka kuongea sana, akaanza kupambana kujitengenezea mazingira ya Yule mwanamke kumuona kuwa yuko bora sana, basi maisha yakaendelea, na kwakuwa amedharaulika kwa umri wake, hakutaka kubishana nae tena, siku za Yule kijana kuendelea kukaa pale hospital zikaisha, siku anaondoka nurse veronica akamfata kwa ajili ya kumuaga kisha akasema “ wewe ni mwanaume mzuri na bora sana, na kweli ulikuwa unamaanisha

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments