MADAM NIPE KIDOGO BASI* *________________________________________* *SEHEMU YA SITA*

MADAM NIPE KIDOGO BASI* *________________________________________*  *SEHEMU YA SITA*

Basi wakaanza kufanya mitihani, na katika kipindi chote hicho Kendrick hakuwah kunionesha ishara yoyote ile wala kunivunjia heshima kwa aina yoyote ile… Basi siku zikaenda na hatimae maisha ya mitihani kwa watahiniwa yakaisha, na baada ya mitihani ndio walipanga kuwa wafanye maafali, michango ilishachangwa na wiki inayofuata baada ya wiki yao ya kufanyia mitihani kupita, ikafika siku ya maafali, yalikuwa ni maafali ya kipekee sana, kwa maana walialika wapiga bendi, wanafunzi wakaandaa maigizo na vichekesho mbali mbali, kulikuwa pia na vipaji vya kila aina, na moja ya maigizo yalinishangaza sana, maana muhusika mkuu alikuwa ni Kendrick, igizo lake lilikuwa kuhusu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments