
Mzoa taka alienda kufungua dirisha na kidogo ilinisaidia na kuacha kupiga chafya. Mzoa taka aliamua kunikaribisha "Irene karibu hapa ndiyo kwangu na jisikie upo nyumbani" aliniambia na mimi uvumilivu ulinishinda na kuamua kumuuliza. "Damian kwani umeshindwa kurekebisha chumba chako walau kikawa kwenye mwonekano unaovutia!?" "Utanisamehe Irene kwani huwa sina mda kabisa wa kufanya usafi kwenye chumba changu" aliongea na mimi nilijua hasili ya mzoa taka ni uchafu hivyo sikutaka kuingilia maisha yake. Sikutaka kukaa sana ndani ya chumba cha Mzoa taka, nilimuaga kwa ajili ya kuondoka ila hakutaka kunipa nafasi ya kuondoka bira kufanya nae chochote. Mzoa taka alijua kunipatia
0 Comments