MAHABA YA MZOA TAKA 06 🔞🔞

MAHABA YA MZOA TAKA 06 🔞🔞

Alex alijitahidi kunijali kwa jinsi alivyokuwa akiweza na nilijitahidi kulidhika na penzi alilokuwa akinipatia lakini ilikuwa ngumu kwangu kwani nilikuwa silidhiki kabisa na penzi lake na ulifika mda nilianza kumkumbuka mzoa taka wangu ambae ni Damian. Siku hiyo nikiwa ndani pamoja na mtoto wangu nilisikia mtu akibisha hodi, nilinyenyuka kwa ajili ya kwenda kuangalia mtu aliyekuwa akibisha hodi. Nilipigwa na butwaa baada ya kumkuta mzoa taka akiwa kasimama mlangoni kwenye nyumba yetu akiwa na nguo zake chafu. "Irene" mzoa taka aliniita sababu hakuamini kama angenikuta kwenye nyumba hiyo. "Karibu" nilijikakamua na kumjibu huku nikionesha sura ya ukauzu asiweze kugundua kuwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments