MAHABA YA MZOA TAKA 07 🔞🔞

MAHABA YA MZOA TAKA 07 🔞🔞

Karibu katika mwendelezo wa penzi la mzoa taka na hii ni sehemu ya 4.... Miaka miwili ilipita na mwanangu Grace alikuwa ameshafikisha miaka miwili na miezi kadhaa kwa wakati huo pia nilikuwa bado nikiendelea kuwa kwenye mahusiano ya siri na mzoa taka au Damian. Siku hiyo nilipokea taarifa njema na hii ni baada ya kuhangaika kutafuta kazi kwa mda mrefu. ilikuewa ni taarifa ya kuajiriwa kwenye shirika moja kubwa ndani ya nchi yetu. Nilianza kazi na kutokana na mimi kuwa bize na kazi huku mda mwingine nikichelewa kurudi nyumbani, nilijikuta nikikoswa mda wa kwenda kuonana na mzoa taka japo kuna

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments