*SINGLE MOTHER* 1 MPAKA 3 sehemu ya 1

*SINGLE MOTHER*  1 MPAKA 3 sehemu ya 1

🪙🪙🪙🪙🪙🪙🪙🪙🪙🪙🪙🪙🪙🪙🪙🪙🪙🪙🪙🪙🪙🪙🪙🪙🪙🪙🪙🪙🪙🪙🪙🪙🪙 Kwa majina naitwa sangania jafari ally. Ila wengi wamezoea kuniita NIA. Mimi ni mtoto wa pili kuzaliwa katika familia ya watoto 2. Ila sasa nimejikuta nimebaki mwenyewe .baada ya kaka yangu kipenzi kufariki. So nikabaki kuwa mwenyewe sasa. YANI kama nimezaliwa wa pekee.Ila mimi sikuwahi kubahatika kumuona baba yangu kabisa. Nililelewa na mama tu. Mama hakuwahi kunambia chochote kumuhusu baba. Ila ndugu zake mama walikuwa wanasema baba alimkimbia mama. Mimi na marehemu kaka tukiwa wadogo sana. So mimi mama pekeee ndo alonilea na kunipambani mno katika makuzi yangu. Mpaka nakua.na mpaka najitambua na kuwa msichana sasa na kwa kipindi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments