MAHABA YA MZOA TAKA 13 🔞🔞.

MAHABA YA MZOA TAKA 13 🔞🔞.

ILIPOISHIA..... Alex baada ya kuona namzuia alianza kutumia nguvu.... ENDELEA........ Kwa kunilazimisha kutaka kunilawiti kitu ambacho sikutaka kitokee kabisa. Kitendo cha mimi kukataa kilimfanya Alex aanze kunipiga na baadae niliona ujinga japo nilikuwa wa kike sikutaka kukubali kupingwa na Alex. Chumba chetu kiligeuka kuwa uwanja wa ngumi kwani wote tulijikuta tukianza kupigana na baadae Alex aliondoka huku akitukana hovyo baada ya mimi kumnyima tundu la nyuma.Baadhi ya maneno aliyokuwa akiongea Alex ni kuwa bora aondoke nyumbani na kwenda kwa mwanamke wake anayempa tundu la nyuma kuliko mimi mkewe. Ndoa yangu iligeuka na kuwa ndoano na ndipo nilipoelewa sababu iliyombadilisha gafra

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments