
Tuendelee na story yetu. Basi baada ya mzoa taka kutoa mashuka ilibidi niligeuze godoro na baada ya kumaliza mtanange mzito ulianza baina yangu na mzoa taka. Tulifanya mapenzi kwa mda mrefu mpaka pale hamu nilizokuwa nazo ziliponiisha ndiyo nilipata akili ya kurudi kwangu. Nilichukua kiasi kidogo cha pesa na kumpatia mzoa taka kwa ajili ya matumizi yake madogo madogo ila nilishangaa akiongea. "Irene subiri usiondoke nakuja sasa ivi tu" Mzoa taka aliongea na kuondoka. Baada ya mda alirudi akiwa na nyama choma pamoja na chips. "Damian mimi nimekupa pesa kwa ajili ya matumizi yako wewe unaeenda kununua nyama choma!?" nilimuuliza
0 Comments