MAHABA YA MZOA TAKA 18 🔞🔞

MAHABA YA MZOA TAKA 18 🔞🔞

Kulingana na mazingira yalivyokuwa sikutaka kumwambia palepale kuwa Grace sio mtoto wake maana ni lazima angeanzisha vulugu. "Siwezi kukupatia mtoto Alex kaa ukijua hilo" niliongea na baadae niligeuka kwa ajili ya kuondoka ili nikaendelee na kazi zangu. "Wewe malaya emu usiniletee utani, mwanangu lazima utanipa sitaki aishi kwako maana utamfundisha tabia za kutembea na wazoa taka na huenda ukamfundisha kutembea na vichaa kabisa" Alex aliongea. "Wewe ata uniite malaya sawa tu ila mtoto sikupi" niliongea na kuondoka huku nikimuacha Alex akisema lazima atamchukua mtoto wake kutoka kwenye mikono yangu. Nilikuwa na uhakika wa karibu asilimia 100% kuwa hakuwa na lengo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments