MAHABA YA MZOA TAKA 23 🔞🔞

MAHABA YA MZOA TAKA 23 🔞🔞

Nilifika nyumbani na baada ya mda mzoa taka nae alifika na kwakuwa karibu kila kitu kilikuwa changu sikutaka tena kuendelea kuishia na mzoa taka. "Damian ondoka mbele ya macho yangu sihitaji kukuona tena" niliongea pasipo kumuangalia usoni. "Siwezi kuondoka mpaka unipe nafasi ya kujieleza" mzoa taka aliongea. "Uniambie nini!? yani uchepuke alafu uniambie nikupe nafasi ya kujieleza!?" nilimuuliza huku nikiwa bado na hasira. "Najua nimekosea lakini mbona na wewe ulikuwa ukichepuka kipindi cha ndoa yako na ulikolezwa na penzi langu Irene!?" alijichanganya na kuongea kitu kingine kilichozidi kunikasilisha zaidi. "Kwahiyo kumbe ndiyo sababu iliyokufanya utembee na huyo mwanamke wako!?" "No

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments