MALIPO YA BUSU BALAA! 💋13

MALIPO YA BUSU BALAA! 💋13

Baada ya Suzan kutoka sebuleni kuelekea alielekea jikoni ,Victor alivyobaki chumbani alinyanyuka na kwenda kusimama dirishani akiangalia nje kwa mbali kichwa chake kikiwaza. “Huyu msichana kweli anaweza kuwa tofauti? Anaweza kuwa mke wangu?” Alikumbuka siku za mwanzo, Suzan alipokuwa akijibu shaba nae na kumkataa kabisa Ilimlazimu kutumia nguvu nyingi kuwa karibu naye. Lakini sasa Suzan amekuwa mtu mpole na anamsindikiza bila hata kubishana “Kama huu huruma hii haitoki moyoni kwa Suzan basi mimi si Victor. Akiwa bado kwenye mawazo hayo, mlango wa chumba uligongwa akarudi kitandani haraka na kuitikia . " Ingia Suzan alifungua mlango alirudi na kikombe cha uji

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments