CEO NISAMEHE SIRUDII TENA _______________________________________* 11--12

CEO  NISAMEHE SIRUDII TENA _______________________________________* 11--12

*SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Walikubaliana na kuanza mchakato wao, Husna alikuwa mzuri sana kwa kuigiza,ni ngumu kujua kama ni mtu mbaya, walipambana kwa miezi kadhaa, mpaka wakamnasa Naseer, upande wangu niliweka sawa na familia yangu, na nikawa binti bora sana, nikarudi chuo kuendelea na masomo, niliomba mda Naeer asiniguse kwanza nimalize masomo, alikataa na kusema naweza kusoma na huku nahudumia ndoa, nilikuwa naogopa sana mimba, akaniomba nitumie uzazi wa mpango, yeye hawezi kujizuia... Niliamua tu kufanya hivyo, sikutaka ukaribu na yeyote niliewahi kumhudumia, nilikuwa nawakatia, nilisemwa sana, ila nikajikaza nakuendelea na maisha, nilianza kuishi na Elham mtoto wa Najma,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments