MTOTO WA MAID ACHIA MOYO WANGU ________________________________________* *SEHEMU YA SITA*

MTOTO WA MAID ACHIA MOYO WANGU ________________________________________*  *SEHEMU YA SITA*

Akiwa kwenye ujinga wake, mlio wa risasi ukasikika, apo akili ikarudi, akanikumbatia vizuri mda huo tumelaliana chini ya meza, apo natetemeka vibaya mno, bahati ikawa upande wetu, ving'ora vya polisi vikawa vimewahi kufika, tukanusurika ila mlinzi mmoja alilambwa shaba akawahishwa hosptal, sisi tukahama kabisa pale, lakini akili yangu haikuwa sawa, Teacher ni Doctor aliewewa nini napitia, alitafuta namna ya kuniweka sawa ndio tukarudi nyumbani lakini hatukuwa tumefikia muafaka... Teacher aliondoka, Rose alikuja na kuanza kugomba, akawa analalamika nimemuibia bwana ake, mama alishangaa, akaanza kuhoji, mama Rose nae akapanic nakuchukia mno, Ronard alikuwa ananitazama uku analia, akaamua kuvunja ukimya nakusema, mimi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments