
Alama nne nyekundu zilikuwa shingoni kwa Suzan kama mihuri ya ushahidi usiofutika. Alishika shingo yake kwa kiganja chake cha mkono “Mungu wangu sasa nifanye nini? Hii ni aibu ya mwaka mama ameshafikiria mengine hapa. Nilijua Victor ataniletea shida sasa hapa naenda kumjibu nini mama si atajua nimecheza mchezo mbaya. Suzan alijisemea huku akiwa na wasiwasi mkubwa. " Sijui nimwambie nime nga'twa na mdudu? Mmmh lakini yule ni mtu mzima na ameshajua kila kitu , sijui nimwambie ukweli? Hivi atanielewa kweli? Suzan alijiuliza maswali mengi sana bila kupata jibu. Akiwa bado anafikiria ni jinsi gani atamwambia mama yake na amuelewe mara
0 Comments