
____________________________________ *SEHEMU YA KWANZA* Maisha ni fumbo kubwa sana, kuna watu tunaweza kuhisi kama wapo sawa kabisa kumbe wanamatatizo meng sana ambayo yanawakabili, kuwa na pesa, muonekano mzuri na jina kubwa hakumfanyi mtu kuwa na furaha, kuna muda tunatamani kuwa matajiri ila kuna wakati ukijua namna ambavyo utajiri na umaarufu unavyotesa basi utataman kuishi maisha ambayo unaishi leo.... Naitwa Shimena. nimesomea business administration katika chuo kikuu cha sauti mkoani mwanza, ila nikapangiwa nikafanye field kwenye moja ya kampuni maarufu sana jijini dar es salam, ilikuwa ni ndoto zangu kumuona ceo wa hio kampuni maana sifa zake zilikuwa zinaenea kila mahali,
0 Comments