
Suzan alijua habari yake imeisha lakini ilikuwa tofauti na alivyofikiri Victor akimuweka kitandani nae akapanda upande wa pili akakaa na kumuangalia . Suzan alimtolea macho kutaka kujua nini kinaendelea. " Suzan unaweza kuniambia yule kijana niliekukutanae anaitwa nani na una urafiki naye kivipi? " Ni James.... " Ooooh ndio yule mpenzi wako wa chuo ambae alikutumia messege na kutaka kujua kwanini ulinuna? Siku hiyo Suzan hakuwa na ujanja alikuwa kimnya. " Sikiliza suzan mimi sijali kama ni mpenzi wako au vipi ila ninachotaka kwa sasa ni wewe kuachana na kila kitu ,yani namaanisha hiyo mipango yako ya kando na ubaki
0 Comments