CHOMOA 01. ANZAAA NAYO....... Mr Alex ni baba wa watoto watano wote wakike na bahati kwake hakubahatika kupata mtoto wa kiume toka enzi za ujana wake.

CHOMOA 01.   ANZAAA NAYO....... Mr Alex ni baba wa watoto watano wote wakike na bahati kwake hakubahatika kupata mtoto wa kiume toka enzi za ujana wake.

Alitamani sana kuwa na mtoto wa kiume ila kila mkewe alipokuwa akishika mimba alijifungua mtoto wa kike kitu kilichozidi kumsikisha Alex, umri wake ulizidi kusogea na utajiri ulizidi kuongeza lakini hakuwa na furaha kutokana na mkewe kutokuzaa mtoto wa kiume. Siku moja akiwa kwenye mizunguko yake tena akiwa kwenye hali ya mawazo aliangusha waleti yake iliyokuwa na pesa pamoja na kadi zake za benki pasipo yeye kujua na nyuma yake kulikuwa na kijana akikatiza aliweza kuona alivyoidondosha waleti yake, Kijana alikimbia na kuiokota na kumfata Mr Alex. "Father!" Mr Alex aligeuka baada ya kuitwa. "Umedondosha waleti yako!" "Heeee!" Haraka aliichukua

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments