
Suzan alikuwa bado yupo kwenye mshangao . " Hivi huyu kaka atakuwa yupo sawa kweli? Anachukulia swala la ndoa ni kama vile kwenda chooni kumaliza haja. " Suzan hii ni bahati ujue. Veen alisema “Bora ukubali tu, huyu jamaa sio wa mchezo alisema Diana kwa sauti ya chini. " Mnanishauri ujinga gani nyinyi ? Alafu nyie ndio chanzo lakini alipokuwa anaongea hakuna alienitetea. " Sikiliza suzan huyu jamaa atakuwa alichanganyikiwa na lile busu sasa anataka mambo mengine zaidi ili ujionee yaliyomo yamo? " Kweli hiyo ni bahati kubwa olewa tu maana mtu mwenyewe ana sifa zote za kuwa mume, ana
0 Comments