
Nilikaa tu kimya,alisogea akanikumbatia akaniomba nipumzike nitakuwa nimechoka sana, alibusu tumboni, akaomba nilale nikaomba nioge kwanza, nilivyosema tu ivyo tamaa za mgonjwa zikaanza kuiva, nilianza kumshakia, akaamua kuondoka tu chumbani, make kunibaka kwake ni jambo dogo sana, niliingia bafuni nikaoga, nikatafuta nguo ya kuvaa, nikaona kujichosha, nikabuta shat yaje nikavaa, na kipens chake, nimemaliza kuvaa akaingia alivyoniona tu kwanza akatabasamu... Nakunisifia nimependeza niwe tu navaa shart zake, nilijikuta th nacheka, kumbe mtoto wa watu nazidi kumtia majaribuni, mate yakawa yanakwama ayafiki kunakotakiwa vizuri, akaamua kunikumbatia kwa nguvu, uku anavibrate anasema nakupenda sana mama k wangu, naomba usiniache nakuhitaji sana, tukiwa
0 Comments