MARIAπŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜ Sehemu ya 08

MARIAπŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜ Sehemu ya 08

MARIAπŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜ Sehemu ya 08 Mwandishi :lissa mwalla TUENDELEE Nikafika kwa bahati akanipokea nae alikua anaishi magomen wamepanga chumba kimoja ivo akanipokea nikamsimulia akanisema sana kwa nn nilianza hayo mambo na mtoto wa tajiri lkn ulisahau ww ni nani pale? Watoto wa matajiri hutufanya mahousgal kama chombo cha sharehe sio ndoa, alinisema sana, mwishowe akasema sasa unampango gn nikamwambia sa iv nitafute chumba nipange niangalie biashara nianze mana nina kaakiba akasema sawa lkn pia inabidi kwa sasa ukalale gest mana si unaona nina chumba kimoja nikamwambia sawa akanitaftia gest jiran nikabeba mizigo yangu nikalala kesho yake tukamtafuta dalali akanitaftia chumba kilikua

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments