MARIA Sehemu ya 10

MARIA   Sehemu ya 10

MARIA Sehemu ya 10 Nikaja stuka niko hospital sijui nimefikaje, nikataka niamke nikashindwa kichwa kinauma sana mkonon nina drip nikivuta kumbukumbu nakumbuka nilipigwa nikafukuzwa na nkaondoka na mwanangu napepesa macho simwoni mtoto niko kwenye chumba cha peke angu bahat nzur akaja nesi na dokta dokta akaniambia maria umeamka?nikamwambia ndio mwanangu yuko wapi akasema usijali yupo salama tu unajiskiaje nikajib kichwa kinauma sana naomba nimuone mwanangu, dokta akasema ulianguka vibaya ngoja nikuandikie dawa ya maumivu mimi namuwaza mwanangu tu, dokta akaandika ktk karatas nesi akaenda chukua dawa na sindano akanichoma akasema kichwa kitaacha kuuma sasa iv maria nikasema asante huku nikijiuliza

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments