Mashabiki wa DR Congo wameharibu Uwanja wao kwa kuvunja na kurusha viti baada ya timu ya taifa kushindiliwa mabao 3-2 na Simba wakali toka hifadhi ndogo ya Wanyama ya Teranga Senegal nyumbani kwao.

Mashabiki wa DR Congo wameharibu Uwanja wao kwa kuvunja na kurusha viti baada ya timu ya taifa kushindiliwa mabao 3-2 na Simba wakali toka hifadhi ndogo ya Wanyama ya Teranga Senegal nyumbani kwao.

DR Congo walikuwa wakiongoza 2-0 kabla bao hizo mbili kuchomolewa kisha wakafungwa na jingine moja, matokeo ambayo yaliwaduwaza Mashabiki wao ambao baada ya mchezo wakaamua hasira kuzimaliza kwa kuvunja viti vya Uwanja wao. Senegal ina pointi 18 huku Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ikiwa na alama 16 katika kundi lao. #KitengeSports

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments