
______________________________________ SEHEMU YA KWANZA (Location; Mumbai, India) (Ndani ya Kampuni la Ajanta Pharma linalo jishughulisha na usambazaji wa dawa muhimu) "Kuhusu zawadi niliyo kuahidi nitatimiza kabla ya hii wiki kuisha, nimekuwa bize sana najikuta nasahau hata kwenda haja kubwa" Vedant (CEO wa Kampuni la Ajanta Pharma) aliongea huku akikagua bahasha aliyoletewa. Baada ya kugundua ni picha ya Mwanamke aliishiwa pozi "Huyo Mwanamke ni Mwana mitindo maarufu Jijini Newyork ..naomba uitazame picha yake ukiwa umeshiba, hakikisha unavaa miwani yako pia. Kitu kingine iangalie ukiwa pekee yako....nahofia huenda ukafika kileleni bila kupush ni mrembo sana" Manuu (Shangazi yake Vedant) aliongea huku akijichekesha,
0 Comments