*UDHAIFU WA MR CEO _____________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Basi ndio rasmi tukaanzisha mahusiano na my wangu

*UDHAIFU WA MR CEO _____________________________________*  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*  Basi ndio rasmi tukaanzisha mahusiano na my wangu

, na alikuwa ananipenda sana na alikuwa hataki kukaa mbali na mimi kwa namna yoyote ile, na bahati nzuri umaridadi na uhidar wa kazi zake ukawa unazidi kwa mimi kuwa pemben yake, siku moja nikamuuliza ilikuwa je mpaka katika hali kama ile.. Akaniangalia kwa sekunde kadhaa kisha akasema cha msingi ni wewe kuwa karibu yangu na habari zangu hazikuhusu.. Nilijisikia vibaya sana kwa jibu lake, ila sikutaka kuonyesha ghadhabu zangu, nikataka ajue kuwa nipo sawa, nikaanza kufuatilia sana kuwa anashida gani, maana hio hali aliyo nayo sio hali ya kawaida kabisa, ni lazima kuna story huko nyuma na nahisi huenda

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments