MJEDA TARATIBU BASI JAMANI SEHEMU YA NANE

MJEDA TARATIBU BASI JAMANI SEHEMU YA NANE

_______________________________________ Ibu wetu akatoka kukaribisha mgeni, alivyofungua tu, akakuta ni mjeda, hakusubili kuambuwa funga, akaamua kufunga ila mjeda akamuwahi, na kuzuia mlango, dogo najua unahasira sana na Mimi, ila naomba uniache niingie tuweke sawa hili, sisi wote ni binadamu... Lakini Ibu hakutaka kumuelewa, pamoja na mdomo wake lakini alijizuia Ili asilete balaa tena, mjeda akamchana ivi unatambua kama wewe ndio hasira yangu, kupanda zaidi, ulikuwa ukiwasimulia nini watu pale pembeni ya uwanja... Hapo hata Ibu, aliishiwa nguvu, nakujihisi hatia sana, usijilaumu ni kosa kwangu zaidi kutumia hasira Kwa mtu ambae hahusiki na kusambaza maneno, nilishindwa kujizuia mimi ndie mwenye makosa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments