
Tulivyoshuka tu mbele yetu, tukamkuta, baba Sophia na Saphina, alikuja kunipa barua ya kazi niliomba kazi ya ualimu shule binafsi, kupitia baba Sophia mkoa wa Kilimanjaro, tulipata kazi Mimi na Sophia, Saphina yeye alisomea unesi, sisi ualimu wa shule ya msingi, na Mungu kawa upande wetu, tumepata kazi shule Moja... Sikuwa na simu ya kueleweka kile kisimu changu kilizima toka juzi, nimepigiwa simu, hawakunipata, hii kwetu ilikuwa habari njema, japo huzuni kukaa mbali na familia sijazoea, hili swala mwanzo mjomba alikuwa ameshalipinga lakini kutokana na matatizo yaliyotokea aliona bora niende mbali watakuwa wanakuja kuniona... Ilibidi shangazi apewe mkanda mzima, muda
0 Comments