NILIKUWA NAJIUZA BILA MUME WANGU KUJUA .(Maudhui ya watu wazima. Imeandikwa kwa tahadhari ya uelewa na kutoa funzo) Sehemu ya 2

NILIKUWA NAJIUZA BILA MUME WANGU KUJUA  .(Maudhui ya watu wazima. Imeandikwa kwa  tahadhari ya uelewa na kutoa funzo)   Sehemu ya 2

Saa kumi na mbili jioni nilikuwa nimeshajiandaa. Nilioga, nikajipaka mafuta ya “Nice & Lovely,” kisha nikavua gauni la kawaida na kuvaa kanga yangu niliyowahi kuivaa harusi ya shoga yangu.Mapigo ya moyo yanadunda hatari ujuwe sijawahi fanya hivyo ni mara ya kwanza lakini nilivuta pumzi na kusema " Nitaweza tu hata mtoto lazima atambae ndio atembee hawezi tembea bila kutambaa" Nikazikunja lipsi kuangalia kama wanja umekaa vizuri sijisifii ndugu msomaji mimi ni mwanamke mzuri sana nawakatalia wanaume wengi na ndo kitu ambacho kinampa kiburi mume wangu yaani msimamo wangu umenifanya nimpende kupitiliza lakini sasa hayupo na watoto wanahitaji kula na kwakuwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments