MJEDA TARATIBU BASIIIIIIIII SEHEMU YA KUMI NA NNE

MJEDA TARATIBU BASIIIIIIIII SEHEMU YA KUMI NA NNE

_________________________________________ Tulifika hotelin akaagiza chakula, Mimi nikasema tu chochote, wewe Mariam Kuna chakula kinaitwa chochote? Ebu acha mambo yako agiza chakula umepewa kitabu apo uchague, alivyoona napoteza muda akaniagizia chips na nyama choma... Zilikuja ila hata kula sikuwa naweza na sikusema, kumbe kashajua, akataka anilishe nikaguma nikalazimisha kujikaza... Mariam nitakupiga bure, sipendi ubishi, akataka kunipiga nikadodosha tu machozi akashusha mkono, akaanza kunilisha, ata sikugoma ila nilikuwa naona aibu mno... Nilikula Kwa shida, ata radha ya chakula sikuisikia kabisa, tulimaliza kula tukapita duka la simu, akanunua Mimi nilikuwa zangu nalia tu kimya kimya, macho yameshavimba... Tulitoka hapo akanirudisha nyumbani kwao, bado

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments