🔥 MJOMBA UKO KUDOGO USIINGIZE JAMANI🔥 Sehemu ya kwanza.

🔥 MJOMBA UKO KUDOGO USIINGIZE JAMANI🔥  Sehemu ya kwanza.

Mama Samahani ongea na dada yangu mimi sitaki aniingilie kwenye mahusiano yangu uyu ni mwanamke wa pili anamtimua anasema ana viwango kuwa na mimi. " Juma mwanangu umetoka mjini umekuja kuniambia aya au kuna mengine. " Mama ni aya yananikwaza unajua mama mimi sipendi kukaa peke yangu napenda niwe na mwenzangu mwanamke wa kwanza kaja kamtimua anasema mchoyo aya uyu mwengine kamtimua akiwa na mashoga zake mimi nipo kazini yeye kaja kumchamba mpaka kaondoka. " Basi wewe lala Leo Kesho dada yako anakuja nijue kwanini anafanya ivyo. " Sawa. ( Naitwa asma naishi na mama yangu ila mama yangu anamsumbua

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments