NILIZAA NA BABA BAHATI MBAYA. PART: 01

NILIZAA NA BABA BAHATI MBAYA.  PART: 01

Kabla hujaanza kusoma simulizi hii, hakikisha unalike page hii ili usipitwe na mwendelezo Kwa majina naitwa Mariatabu. Ilikuwa mida ya saa 1 za asubuhi ndipo niliposikia sauti kama ya mlango wa chumba changu unagongwa. Niliinua masikio juu mithili ya panya aliyehisi harufu ya paka lakini sikusikia tena sauti hiyo ndipo nilipoendelea kujikunja kwenye shuka lililokuwa na madoadoa meusi na meupe. Mda huohuo, mlango uligongwa tena ndipo niliposhtuka , " Nani anagonga mlango?" niliongea kwa sauti ya juu huku uso wangu ukiwa umejikunja. Kwa akili ya mwanzo, niliijua ni mdogo wangu Rebecka ambaye alikuwa na tabia ya kunigongea mlango. Nilijifunga kanga

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments