
Aliamka vizuri akiwa amepoaaa kama mzima ila udenda mdomoni ndo alikuwa anauachia kama wote.. Aliletwa sehemu walipo wageni muda huo mi nawachabo tu.. Kingston alikuja akiwa amebebewa zile zawadi zake ili amkabidhi huyo mchumba😂😂😂 Alifika akaanza kuwasalimia vizuri tu😂😂😂alipomaliza kusalimia akachukua yale maua nikajua anataka kumpa yule mchumba wake ghafla nikashangaa anaaza kunyofoa kau kamoja kamoja anaeka mdomoni anaanza kutafuna😳 Watu macho yakawatoka😳😳 Kingston🥺🥺 wakati watu wanazidi kushangaa Kingston akaanza kuwalisha yale maua alafu akawa anashangilia kama zezeta kabisa😳😳😳 Mimi mwenyewe kusema kweli nilishangaa jamaa alikuwa kama chizi kabisa😳😳hii inawezekanaje mmhhhh??? Basi baba wa binti alivyoona vile akaanza kuhoji matibabu
0 Comments