MPANGAJI 02 🍏🍏🍏🍏🍏 Ilipita wiki moja na hali ikawa shwari kabisa kwa wapangaji wa mzee Mhina, siku hiyo usiku

MPANGAJI 02  🍏🍏🍏🍏🍏  Ilipita wiki moja na hali ikawa shwari kabisa kwa wapangaji wa mzee Mhina, siku hiyo usiku

Sele alikua anarudi zake na kwa bahati mbaya siku hiyo alikua amechelewa kupita siku zote na hivyo ilibidi agonge geti na kusubiri kidogo, alikua amevaa begi lake kama kawaida na mkononi akiwa na mfuko wa chipsi na soda yake tayari kabisa kuingia ndani, mara nyingi alikua akichelewa alifunguliwa mlango na kaka Ephraim au mzee Ngoda, siku hiyo ilikua tofauti sana kwani wakati geti linafunguliwa Aliona sura ngeni kabisa machoni pake ya msichana mrembo umri wa miaka 25-28 hivi, Sele alijikuta akishikwa na kigugumizi na akili yake ikasimama kidogo akiwa ameduwaa pale getini. “ingia ndani kaka Sele!” alisema Yule msichana nae

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments