
MTUNZI : RITHA STORIES WHATSAPP 0763 826152 FB RITHA STORIES &HADITHI ZA RITHA SONGA NAYO.................. Nilimaliza nikatoa vyombo nakuingia chumbani bila hata kuongea nilipanda kitandani na kujilaza, kimya kilipita huku tukiwa tumepeana migongo. Kwa namna kichwa changu kilivyokuwa na mambo mengi sikutaka kujisha kuongea, dakika kadhaa zilipita Julie akaniita na kusema. "Kwa hiyo umeamua kutoka na Felix?" "Julie! mimi Sina uhusiano wowote na Felix naomba uelewe basi" "Huna uhusiano nae ila unampenda ?" "Haina maana ila haiwezi kuwa " "Mmmmh! Yangu macho mie ,ila sio mbaya kama ukitoka nae "Sikutaka kumjibu nikachukua shuka nikajifunika tayari kuutafuta usingizi. Usiku ulipita kesho
0 Comments