
MTUNZI RITHA STORIES WHATSAPP 0763 826152 FB RITHA STORIES & HADITHI ZA RITHA SONGA NAYO................... Kiss ilinikolea na kuni sahaulisha yote na kuzama katika ulimwengu wa mapenzi, tuliendelea kukiss na kuna mda akili ilinirudi nikajitoa na kumwambia. "Felix please stop" niliongea huku nikiwa nimejawa na hisia kali Sana, Felix hakutaka kuniacha ,alinisogelea na kunikiss tena . Sasa nikawa nataka kujitoa akawa anaacha na kunambia" Lolah i need you" kisha anarudia kunikiss tena , kisha anaongea tena sasa ongea yake na maneno aliyokuwa akiongea vilinivuruga . Mwili ulizidi kupandwa na hisia kali, akili yangu ikanambia mvue mmalizane haraka, nami bila kuchelewa
0 Comments