MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI EP 28,29 Nilitamani nipae niikimbie ile nyumba 🥺🥺 hebu tokeni wote mje hapa sebleni mtueleze kina

MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI                                   EP                                                     28,29                                          Nilitamani nipae niikimbie ile nyumba 🥺🥺 hebu tokeni wote mje hapa sebleni mtueleze kina

Tulitoka mimi na Hemed tukaelekea sebleni kumbuka ni usiku saa saba wazazi walikuja kutusikiliza shida inayo tugombanisha usiku wa manane.. Hemed aliulizwa kwanini ananipiga akadai mimi ninamsaliti na mwanaume wa kizungu🤨🤨 How??? Una uhakika gani akasema nilijipost status niko na huyo mwanaume na nikaandika love of my life🥺🥺... kithibitisho unacho??? Akasema ndiyoo niliscreen shot hiyo post aliwaonyesha wazazi wake ile post yangu😴😴😴 mwenzenu nilikuwa kimya limenishuka shuu😞😞 Nilikuwa najilaumu kwanini nimefanya hivo😒😒 wazazi walikasirika sana wakaniuliza Bella huyu mwanaume ni nani??? Naeleza nini mimi😒😒nilikaa kimya🥹🥹badae nilipoona wazazi wananikomalia nikawaambia naombeni mnisamehe🥹 Ni kweli nilipost hiyo post lakini huyo siyo mwanaume

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments