
Baada ya kumaliza kupiga picha nilirudi kwenye sit yangu nikamkuta Romy naye yuko pale kaishatoka kuogelea... Aliniomba kama sitojali nimuite huyo dada tulokuwa tunapiga naye picha aje atuphotoe mimi na Romy picha ya pamoja.. Nilimwambia sawa...wakati huo yule dada alikuwa ameshatoka pale tulipokuwa anaelekea upande wa pili kule walikokuwa wanapamba.. Basi ilibidi nimfuate huko huko wakati huo ni saa 12 na madakika nilisogea mpaka pale watu walikuwa wameshajaa jaa pale.. Nilisogea upande aliokuwepo yule Dada wakati nataka kumwelezea shida yangu nikashangaa kwenye lile eneo inakuja gari ya Hemed😳😳 Gari ilisimama kwa mbali kidogo lakini naijua vizuri ni ya Hemed ile😳😳nilisimama
0 Comments