
Muda huo Hemed alikuwa ameinamisha kichwa chake chini kaziba uso wake kwa mikono yake🥹🥹wala sikujua kama analia mpaka pale baba yake alipomuinua juu na kuanza kumfariji kiumee.. Inamaana hukua unajua historia ya mchumba wako?... baba alimhoji Hemed akamwambia sikuwa najua baba🥹🥹nilishawahi kumhoji mara mbili kuhusu wazazi aliishia kulia tu bila kuniambia chochote.. Sikuona kama kuna umuhimu wa kuendelea kumuuliza kuhusu kitu kinachomuumiza🥹🥹 Hemed alifuta machozi kisha akaondoka pale mzee alimfuata wakaniacha mimi na mama... Mr's Martin aliniambia maisha aliyopitia mama yako nami nimeyapitia sweetheart ngoja nikuelezee kidogo.. Wakati nipo chuoni nilibeba mimba ya Mr Martin na wakati huo mimi nilikuwa
0 Comments