MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI SEHEMU YA 25* Nilichukua tax nikamwambia anipeleke nyumbani sikutaka kwenda kwa Hemed kabla ya kufika

MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI  SEHEMU YA 25*  Nilichukua tax nikamwambia anipeleke nyumbani sikutaka kwenda kwa Hemed kabla ya kufika

nyumbani ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ kwanza nilikuwa nimevaa mavazi si ya heshima๐Ÿ™ˆ Na nilikuwa na bag na yale maua aloninunuliaga Romy nilihitaji kuvipeleka nyumbani nibadili nguo ndo nikawaone wazazi wa Hemed๐Ÿ˜๐Ÿ˜.. Dereva nilimuomba aendeshe gari mbio mbio๐Ÿ˜ด๐Ÿ˜ดyani nilitamani hadi nipae nyieee๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜.. Tulifika nyumbani nikakimbia ndani haraka wa Tax nikamuomba anisubilie nilirusha vitu kitandani nikavua vile vinguo nilivokuwa navo chapu nikavaa gauni ndefu๐Ÿ™ˆ Nikajifunika na mtandio kutia heshima zaidi๐Ÿ˜ด๐Ÿ˜ chini nikavaa mosimo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ wala sikujiremba bwana urembo kama upo upo tu... Nilimaliza nikabeba mkoba na vipesa kidogo nikatoka kuelekea kwa Hemed๐Ÿ˜ด๐Ÿ˜ด sijui huyo Hemed tunaenda kutazamanaje๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜๐Ÿ™ˆ Nilifika sehemu anapokaa Hemed nayeye ndo alikuwa anaingia kutoka

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments