*MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*🥰😋 Chapter 12 "Jina gani hilo nikutafutiee ?"Saraaah Alisemaa huku akimsogeleaa Jordan Na Laptop

*MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*🥰😋    Chapter 12  "Jina gani hilo nikutafutiee ?"Saraaah Alisemaa huku akimsogeleaa Jordan Na Laptop

yake Mkononi. "Naombaa Jinaa" Saraah Alisema. Lkn Jordan Alikuwaa na hasira Lkn Alipotezea tuu. "Jinaa Ni Rashid Kephain" Jordan Alisemaa. Saraah kwa haraka sanaa alimgeukiaa Jordan na kumuangaliaa sanaa kwa suraa ya ukali kdg. Jordan Alilitambuaa hilo jambo. "Je unamfahamu uyo mtu"Jordan Alisemaa. Swali hilo lilimtiaa kicheko Saraah na kusemaa "Naitwaa Saraah Rashid Kephain" Ayaa sitaki usumbufu na uachee kujitafutisha majina ya watu" Jordan aliogopaa sanaaa Ikn upnde wa Saraah lilikuwa jamb la kawaida kbsa maan alifahm ni matani ya Jordan tu. Jordan alichukua simu yake na kwendaa njee na kumpigiaa Jay. ""Yes Hellow"" Jay Alisemaa. ""Jay Rashid Kephain ni

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments