
_______ SEHEMU YA 46 Nilicheka na kujifunika shuka ili nilale akaamka na kusema "Inamaana umegoma kuniambia?" "Nikwambie nini wewe si umejifanya kununa " "Sijanuna bwana sasa nitapata wapi nguvu ya kukununia mke wangu " "Mh kwasababu ya umbea unaongea kwa mahaba yote eeh unaonesha hadi uhindi baba muone " "Bwanee unaniambia au unanichosha maana naona unaringa kama kitu cha maana vile " "nyoo eti kama kitu cha maana kingekuwa sio cha maana si ungelala bichwa hilo" "Kwahiyo unanitukana ?" " We boya kweli nimekutukana sangap embu lala ukue " "Okay fresh nimekubali mi ni boya haya niambie basi mliongea nini"
0 Comments