
Walipowaacha kidogo mbwa mwitu akaja na akaondoka na mtoto mmoja! Waliporudi kila mmoja akasema yule mtoto aliyebaki ni wake! Wakaenda kwa Nabii Daudi Awahukumu, Akahukumu kuwa mtoto aliyebaki ni wa mwanamke mkubwa! Mwanamke mdogo hakuridhia, wakaenda kwa Nabii Suleiman mwanawe Nabii Daudi! Nabii Suleiman akaagiza kisu akasema kwa vile hamukuridhia hukumu ya Baba yangu na munataka hukumu yangu basi nitamkata mtoto huyu vipande viwili kila mmoja nitampa kipande chake! Akawauliza munaridhia sasa hukumu hii? Mwanamke mkubwa akasema ndio na mwanamke mdogo akasema hapana nimeridhia hukumu ya Baba yako mtoto ni wake! Mwanamke mkubwa akafurahi na Nabii Suleiman Akahukumu kuwa mtoto
0 Comments