
basi mpaka labda wiki ijayo ivi au mwezi ujao maan nilikuw naunguza kidonda 😂. Cha ajabu kesho yake usiku nashangaa vitu vinaingizwa chumbani kwetu ,mume nae anaingia namuuliza Alberto iv vitu vya akanijibu short tu Vyakwangu naamia chumbani kwako . Nikaanza kutetemeka 😂 . Usiku ulivoanza kukolea sasa muda wa kulala, nshazoea Alberto huwa halali mara nyingi hua anafanya kaz ofisini Kwa ,chaaajabu usiku huuulikuw wa tofaut maaan imefika saa Tano tuu kaend kuoga kavaa na night dress . Apo najiafnya nacht kumbe namsomea rada anachotaka kufanya . Kutoka zake kuoga kajipulizia marsh kavaa na pajama yake swafi 😂 shughuli
0 Comments