MTOTO WA BOSS WANGU Sehemu Ya Kwanza (1) Kuna msemo usemao usilolijua litakusumbua sana na ukilijua utatuzi wake hauhitaji nguvu

MTOTO WA BOSS WANGU Sehemu Ya Kwanza (1)  Kuna msemo usemao usilolijua litakusumbua sana na ukilijua utatuzi wake hauhitaji nguvu

sana maana itakuwa vyepesi kulikwepa au kuendana nalo Hii lilidhihirika kwa kijana Wangesi mtoto wa mzee Kamau aliyejikuta akiangukia katika dimbwi la maisha magumu sana na hakujua kipi cha kufanya ili aweze kutatua hali yake maana mzee wake alianza kumdai hela yake baada ya kufeli kidato cha nne Huko nyumbani kwao kumbuka kuna watoto wengine husoma kwa shida sana na mzazi kupata ada ya kulipia inakuwa ni changamoto sana! Wangesi alisoma kwa shida sana alikuwa ni mtu mwenye ndoto zake za kufika mbali sana alitamani kufika chuo kikuu akiamini kuwa kufika huko ndio maisha yatakuwa yamenyooka alilia sana alipokuwa akiwaona

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments