MUJHSE DOSTI KAROGE! (2002): UTAKUBALI NIWE RAFIKI YAKO💖

MUJHSE DOSTI KAROGE! (2002): UTAKUBALI NIWE RAFIKI YAKO💖

Unapo zungumzia Filamu bora za Hrithik Roshan basi nayo imetisha Mujhse Dosti Karoge! (Je, Utakuwa Rafiki Yangu!) inakumbukwa kama Musical Romantic Comedy Drama iliyotengenezwa chini ya bendera ya zamani na yenye mvuto ya Yash Raj Films na kutayarishwa na gwiji Yash Chopra. Filamu hii ilikuwa ni Love Triangle kati ya marafiki watatu wa utotoni—Raj (Hrithik Roshan), Pooja (Rani Mukerji), na Tina (Kareena Kapoor). Kama umeitiza tuhadithi kidogo ilikuwaje ?

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments