*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 12 "No cousin you know mwenzioo mimi hapa nakupenda

*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 12  "No cousin you know mwenzioo mimi hapa nakupenda

na tunaruhusiwa mimi na wew kuoana coz hata huo cousin ni wa hiari tu wa familia ndugu ni wao na sio sisi sawa cousin?" Nilikuwa namtizama kwa hasira sijui kwanini nilijikuta nachukia kiasi hiki nikainuka tu ghafla yaani nikatoka chooni nikaelekeaa bath room sikujuaa shida ni nini ila nilijikuta nina kitu kimenikaa hapa rohoni afu anavyoongea yule mkosa haya na mimi ukiangalia the way nikikumbua zile happy moment za mimi ba boss nachukiaa hajuii tu yaani anavyonikeraa, yaaani ananiboaa hajuii tu huyu mjinga Niliondoka nyumbani bila kutoaa taarifa officine kwamba nimeondoka au vipi watu walinishangaa mimi mwenyewe nilijishangaa sana, Hii

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments