MUOKOTA MAKOPO ALIVYONIFIKISHA KILELENI NA KUNIFANYA NIMDHARAU MUME 🥰🥰01 "Ngo ngo ngo!" geti liligongwa

MUOKOTA MAKOPO ALIVYONIFIKISHA KILELENI NA KUNIFANYA NIMDHARAU MUME 🥰🥰01  "Ngo ngo ngo!" geti liligongwa

kama mara tatu hivi. "Msiuuuuu🙄 huyo nani mshamba anagonga geti wakati kuna switch ya kengele pale getini" niliongea kwa hasira huku nikielekea getini. Nilipofungua geti uso kwa uso nikakutana na kijana mrefu, mchafu wa ngozi mpaka mavazi aliyovaa kidogo nikaogopa na kuhisi ni kichaa. "Una shida gani?" Nilimuuliza. "Samahani dada kama mna Makopo naomba unisaidie na mimi nipate ridhiki" aliongea kwa unyonge na kunifanya nipate huruma, haya ingia uzunguke nyuma ya nyumba kuna pipa la taka." Nilimwambia, akavuka geri na kuingia ndani, wakati anatembea kuelekea nyuma ya nyumba mimi nilikuwa nyuma yake namtazama. "😒Mh huyu kijana sijui kakosa nini, Dah

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments